Huduma na ufundi
Pakua app yetu kutoka Google play
Karibu, Hapa utaweza kupata walimu(Kama private tutors wa kusomesha majumbani), madaktari(kama vile daktari wa familia), mafundi wa aina tofauti na wafanyakazi kama vile wafanyakazi wa ndani. Wewe pia unaweza kutangaza ujuzi, kipaji chako bofya hapa
Jina (Name):
Abuu Yahya
Elimu (Qualification):
BSc in Telecom Engineering, UDSM, 2009
Uwezo(Skills):
Fundi Umeme, Fundi Kompyuta, Fundi Mifereji,
Uzoefu(Experience):
Miaka 3
Maelezo kiufupi:
Fundi vitu kama pasi, blender, computer, mifereji, na matatizo madogo ya umeme wasiliana nasi kupitia namba hapa chini..tunakufuata ulipo, bei nafuu
Phone 1:
0655063601 Phone 2:
0
Jina (Name):
Fahari Architects
Elimu (Qualification):
Diploma in Civil Engineering
Uwezo(Skills):
Fundi Ujenzi, Mchoraji ramani,
Uzoefu(Experience):
Miaka 2
Maelezo kiufupi:
House plans design and drawings, roof plans design and drawing, site survey and planning, civil engineering, supervision, bill of quantity
Phone 1:
0779133536 Phone 2:
0
Jina (Name):
Teacher Twaha
Elimu (Qualification):
BSc in Telecom Engineering, ZU (present)
Uwezo(Skills):
Fundi Umeme, Fundi Kompyuta, Fundi simu, Fundi vitu vya Electronics,
Uzoefu(Experience):
Miaka 2
Maelezo kiufupi:
Natengeneza vitu kama Kompyuta (Hardware na Software), simu, pasi, majagi ya umeme, feni, house wiring, rice cooker na vyenginevyo.
NIpigie whatsapp au sms kupitia namba za hapo chini nitakufuata ulipo.
Phone 1:
0778208371 Phone 2:
0
Jina (Name):
KAMAL
Elimu (Qualification):
INFORMATION TECHNOLOGY AND JOURNALISM
Uwezo(Skills):
Uzoefu(Experience):
4
Maelezo kiufupi:
Computer trouble shooting ,website designing
Phone 1:
0772850620 Phone 2:
2147483647
Jina (Name):
Fundi Ahmed
Elimu (Qualification):
Never attended school
Uwezo(Skills):
Fundi Kompyuta,
Uzoefu(Experience):
Miaka 25
Maelezo kiufupi:
Matengenezo ya mashine za ofisini computers, printers,copiers pamoja na kuuza
Phone 1:
0715286710 Phone 2:
774169923
Jina (Name):
Chachari mapoda
Elimu (Qualification):
(eg. BSc in Telecom, ZU,2016)
Uwezo(Skills):
Mchoraji ramani,
Uzoefu(Experience):
Miaka mitatu
Maelezo kiufupi:
Uchoraji wa ramani
Upimaji viwanja
Setting out za majengo
Phone 1:
0655020211 Phone 2:
772460353
Jina (Name):
yaleke online designer
Elimu (Qualification):
form 4
Uwezo(Skills):
Uzoefu(Experience):
3
Maelezo kiufupi:
Nafanya Kazi zangu za GRAPHICS DESIGN...Hususani katika Kudizain LOGO, LETTER HEAD, BUSINESS CARDS, ROLL UP BANNER na ARTWORK AINA ZOTE
Phone 1:
0765680241 Phone 2:
0
Jina (Name):
khamis wa ukweli
Elimu (Qualification):
kidato cha nne kisha nikajiunga na chuo cha ufundi veta kwa fani ya umeme na nimemaliza level 3eli
Uwezo(Skills):
Fundi Umeme,
Uzoefu(Experience):
miaka mitatu
Maelezo kiufupi:
elimu yang ni kidato cha nne ,na pia nimesomea driving ,computer pamoja na umeme wa majumban i( electrical installation)
Phone 1:
0773448659 Phone 2:
0
Jina (Name):
Abuu Assed
Elimu (Qualification):
Diploma economic &Finance
Uwezo(Skills):
Fundi Kompyuta, Fundi simu,
Uzoefu(Experience):
1
Maelezo kiufupi:
Mimi nina kipaji cha ufundi wa software maintenance kw simu na computer
Phone 1:
0778844356 Phone 2:
0
Jina (Name):
Ayubu jongo
Elimu (Qualification):
Dalasa LA 7
Uwezo(Skills):
Fundi Umeme, Fundi Kompyuta, Fundi Mafriza na AC, Fundi vitu vya Electronics,
Uzoefu(Experience):
Nina miaka mi nne
Maelezo kiufupi:
Nafanya waya lingi. Nafunga dish za aina yeyote.fundi wa pasi .deki.feni.TV.sola.py nafanya softwea. And fund fliji
Phone 1:
0629002400 Phone 2:
629002400
Aina
Bidhaa zetu
Tembelea pia
Zilizotembelewa sana
Chuja kwa Brands
