O-level History
Pakua app yetu kutoka Google play
Karibu, Hapa utaweza kupata walimu(Kama private tutors wa kusomesha majumbani), madaktari(kama vile daktari wa familia), mafundi wa aina tofauti na wafanyakazi kama vile wafanyakazi wa ndani. Wewe pia unaweza kutangaza ujuzi, kipaji chako bofya hapa
Jina (Name):
Mmalawi
Elimu (Qualification):
BSc in Information Technology with education, ZU,2018
Uwezo(Skills):
A-level Geography, A-level History, O-level Geography, O-level History, Civics,
Uzoefu(Experience):
Teaching Practices
Maelezo kiufupi:
Mimi Abdallah Haji Aly, ni kijana mwenye elimu ya ngazi ya shahada ya 'BSc in Information Technology with education, ZU,2018' ni mwalimu wa masomo ya Geography na Computer (ICT) ila pia ninaweza kusomesha masomo ya History na English kwa O-Level na A-Level. Nilmeshawahi kufanya kazi ya ualimu katika shule tofauti kama vile;
1. Chasasa Secondary School iliyopo Wete Pemba nilipokua katika mafunzo ya vitendo 'Teaching Practices' (Geography and Computer subjects) O-level.
2. Moh'd Juma Pindua Secondary School iliyopo Mkoani Pemba nilipokua katika mafunzo ya vitendo 'Teaching Practices' (Geograpy and Computer subjects) A-Level and O-level.
3. Stone Town International School iliyopo Migombani Zanzibar (English, Civics and History subjects) nikiwa kama mwalimu wa muda.
Phone 1:
0772896054 Phone 2:
620544989
Aina nyengine
- Mwalimu wa Qur-an
- A-level Mathematics
- A-level Physics
- A-level Biology
- A-level Chemistry
- A-level Geography
- A-level History
- A-level Kiswahili
- A-level Arabic
- Basic Applied Mathematics
- A-level Commerce
- A-level book keeping
- O-level Mathematics
- O-level Physics
- O-level Biology
- O-level Chemistry
- O-level Geography
- O-level Kiswahili
- O-level Kiswahili
- O-level Commerce
- O-level Book keeping
- Civics
Bidhaa zetu
Tembelea pia
Zilizotembelewa sana
Chuja kwa Brands
