Nafasi ya kazi Mthamini Daraja la II-UNGUJA

Maelezo

Chanzo: Zan Ajira



Tarehe Iliyotolewa: 2025-01-04



Kituo cha Kazi/Tukio: Zanzibar
Imetembelewa mara! 999 ... Deadline: 2025-01-18 15:30:00

POSTMthamini Daraja la II-UNGUJA - 1 POST
EMPLOYEROfisi ya Msajili wa Hazina
APPLICATION TIMELINE:From: 03-01-2025 To: 18-01-2025
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

Majukumu

  1. Kukusanya taarifa za soko la bidhaa au mali kwa ajili ya kufanya makisio ya thamani ya soko la mali inayotaka kuuzwa.
  2. Kusaidia kuandaa makisio ya thamani ya soko la mali inayotaka kuuzwa.
  3. Kusaidia kuhakikisha sheria na taratibu mbali mbali za kuuza na uondoaji wa mali za umma.
  4. Kuandaa ripoti za kazi za uthamini.
  5. Kuandaa taarifa ya utekelezaji ya robo, nusu na mwaka na kuwasilisha kwa mkuu wake.
  6. Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atavyopangiwa na mkuu wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Awe mzanzibari mweny umri usiozidi miaka 46.

Awe amehitimu Shahada ya kwanza ya Uthamini kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.

Aidha, awe amesajiliwa na kupata leseni katika mamlaka inayohusika. 

REMUNERATIONZPSH-10

BOFYA HAPA KUONA MAELEZO NA KUFANYA MAOMBI 



Share via Whatsapp
Advertise with us

©2025 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English