DEREVA DARAJA LA III -PEMBA - 1 POST
Maelezo
Chanzo: zan ajira
Tarehe Iliyotolewa: 2025-09-11
Kituo cha Kazi/Tukio: PEMBA
Imetembelewa mara! 4104 ... Deadline: 2025-09-17 15:30:00
POST DETAILS
POST | DEREVA DARAJA LA III -PEMBA - 1 POST |
---|
EMPLOYER | MAMLAKA YA MAFUNZO YA AMALI |
---|
APPLICATION TIMELINE: | From: 11-09-2025 To: 17-09-2025 |
---|
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | MAJUKUMU YA KAZI: - Kukagua gari aliyopangiwa kazi kabla ya kutumika kila siku.
- Kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katika hali nzuri wakati wote.
- Kutoa taarifa kwa tatizo lolote litakalojitokeza juu ya chombo husika.
- Kujaza (Log book) kabla ya kufanya safari aliyopangiwa.
- Kutoa taarifa kwa Mkuu wake wa kazi juu ya haja ya kufanyiwa Mtengenezo gari baada yakumjuulisha tatizo.
- Kuwa tayari kufanya safari yoyote ya kazi na kwa wakati atakaopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
- Kuwa na kumbukumbu ya wakati wa gari inapohitaji kupelekwa karakana kwa ajili ya kufanyiwa matengenezo.
- Kuegesha gari wakati inapomaliza shughuli zake za siku ndani ya eneo la taasisi na kuikabidhi kwa Walinzi wa zamu.
- Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wakw wa kazi.
|
---|
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Sifa za Muombaji. - Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 45
- Awe amehitimu Cheti kutoka katika Chuo kinachotambulikana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
- Cheti kutoka Chuo Cha Mamlaka ya Mafunzo ya Amali LEVEL III katika Fani ya Umeme wa Magari
- Cheti cha Kidato cha nne
- Leseni ya Udereva Class A ,B1 na D
|
---|
REMUNERATION | ZPSF-06 |
---|
Share via Whatsapp