MWALIMU WA ELECTRONICS DARAJA LA II-UNGUJA - 1 POST

Maelezo

Chanzo: zan ajira



Tarehe Iliyotolewa: 2025-09-11



Kituo cha Kazi/Tukio: Unguja
Imetembelewa mara! 4184 ... Deadline: 2025-09-17 15:30:00

POST DETAILS

POSTMWALIMU WA ELECTRONICS DARAJA LA II-UNGUJA - 1 POST
EMPLOYERMAMLAKA YA MAFUNZO YA AMALI
APPLICATION TIMELINE:From: 11-09-2025 To: 17-09-2025
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

MAJUKUMU YA KAZI:

  1. Kufundisha katika ngazi ya Cheti
  2. Kutayarisha mpangilio wa masomo wanayofundisha (Scheme of Work) kila mwisho wa mwaka au inapohitajika.
  3. Kutayarisha na kusimamia mafunzo ya muda mfupi na semina mbali mbali pale inapohitajika.
  4. Kutafuta na kubuni mbinu mbali mbali za kukuza na kuendeleza elimu katika fani na vyuo husika.
  5. Kushiriki kazi za vitendo darasani (Teaching Practice).

kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake wa kazi

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Sifa za Muajiriwa

  • Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 45
  • Awe amehitimu Stashahada ya Electronics kutoka katika Chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • Shahada ya Telecommunications na Electronics Engineering
  • Bachelor of Electronics and Electrical Engineering
  • Bachelor of Electronic and Communication Engineering
REMUNERATIONZPSF-09



Share via Whatsapp
Advertise with us

©2025 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English