Kituo cha Kazi/Tukio: ZanzibarImetembelewa mara! 5634 ... Deadline: 2024-04-05 15:30:00
POST
Mhasibu Daraja la II-PEMBA - 2 POST
EMPLOYER
SHIRIKA LA BIASHARA LA TAIFA (ZSTC)
APPLICATION TIMELINE:
From: 28-03-2024 To: 05-04-2024
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
Kuandaa hati za malipo
Kuandaa taarifa za mapato na matumizi ya kila mwezi.
Kufanya usuluhisho wa Hesabu za Benki.
Kufanya shughuli zote za kiuhasibu kwenye kitengo cha Hesabu.
Kuandaa ripoti za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu nay a mwaka.
Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Awe Mzanzibari
Asiwe muajiriwa wa Serikali.
Awe amemaliza Shahada ya kwanza ya Uhasibu, Uongozi wa Fedha au fani nyengine inayolingana nayo kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.