NAFASI YA KAZI AFISA SAYANSI YA BAHARI

Maelezo

Chanzo: ZanAjira



Tarehe Iliyotolewa: 2022-12-19



Kituo cha Kazi/Tukio: Zanzibar
Imetembelewa mara! 2341 ... Deadline: 2022-12-19 12:00:00

POSTAFISA SAYANSI YA BAHARI DARAJA LA II - PEMBA - 2 POST
EMPLOYERWIZARA YA UCHUMI WA BULUU NA UVUVI
APPLICATION TIMELINE:From: 08-12-2022 To: 22-12-2022
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
  1. Kufanya tafiti zinazohusiana na sayansi ya Bahari
  2. Kuandaa maandiko ya awali (proposal) za tafiti na miradi zinazohusiana na Sayansi ya Bahari
  3. Kwenda kukusanya taarifa za kitafiti
  4. Kuandaa ripoti za tafiti anazofanya/zinazofanyika katika Taasisi
  5. Kutoa mrejesho wa tafiti na elimu kwa wadau
  6. Kufanya machapisho ya tafiti anazozifanya kwenye Journals zinazotambulika
  7. Kuandaa ripoti za Utekelezaji wa kazi za kitafiti ikiwemo ripoti ya robo, nusu na ya mwaka
  8. Kuishauri Taasisi juu ya tafiti zinazohusiana na Uhifadhi wa Bahari
  9. Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
  1. Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arubaini na sita (46).
  2. Awe amehitimu Shahada ya kwanza katika fani ya Sayansi ya bahari (Marine science) au Fani inayolingana kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  3. Awe na ujuzi wa kufanya kazi na jamii (community engagement skills)
  4. Awe na ujuzi wa kufanya Tafiti zinazohusiana na Bahari
  5. Uzoefu wa kazi pamoja na machapisho katika Journal zinazotambulika (Peer Review Journals) ni sifa za ziada.
REMUNERATIONZPSF - 02

 

Kwa maombi gusa link https://bit.ly/3FEp5dR

 

© 2022, Tume ya Utumishi Serikalini, Developed & Maintained by eGAZ. All rights reserved.

 

 



Share via Whatsapp
Advertise with us

©2024 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English