NAFASI ZA KAZI MWALIMU “GRADE B” SAYANSI(DIPLOMA YA MSINGI) DARAJA LA III
Maelezo
Kituo cha Kazi/Tukio: Zanzibar
Imetembelewa mara! 21999 ... Deadline: 2023-01-11 04:50:00
POST: MWALIMU “GRADE B” SAYANSI (DIPLOMA YA MSINGI) DARAJA LA III - PEMBA - 108 POST
EMPLOYER: WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI
APPLICATION TIMELINE:From: 04-01-2023 To: 11-01-2023
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- Kufundisha Skuli za Msingi.
- Kutathmini maendeleo ya Wanafunzi.
- Kutoa taarifa za tathmini na matokeo mbali mbali kwa uongozi wa Skuli.
- Kujenga mashirikiano kati ya walimu, Wanafunzi na Wazazi au Walezi.
- Kuandaa na kutunza kumbukumbu za maendeleo ya Wanafunzi.
- Kutoa ushauri nasaha kwa Wanafunzi, Wazazi na Walezi.
- Kutunga, kusimamia na kusahihisha mitihani Skuli katika ngazi anayofundisha.
- Kutathmini Mitaala ya masomo wanayofundisha.
- Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
- Awe Mzanzibari mwenye umri usizidi miaka 46
- Awe na Stashahada ya Ualimu wa Msingi ( Diploma in Primary Education) ya Sanaa, kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar.
REMUNERATION: ZPSD-08
Kwa maelezo zaidi download PDF file au kopi na paste link https://bit.ly/3X9KGSk

Zinazofanana
Bidhaa Mbalimbali
Zenye Promotion
Bidhaa Nyenginezo
Tembelea pia
