NAFASI ZA KAZI OFISI YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI
Maelezo

NAFASI ZA KAZI OFISI YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Ofisi ya Mkemia Mkuu wa serikali kama ifuatavyo:-
1. CHEMISTRY Daraja la II “Nafasi 7”
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza ya Chemistry Science’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
2. FOOD SCIENTIST Daraja la II “Nafasi 2”
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza ya Food Science kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
3. ENVIRONMENTALIST Daraja la II “Nafasi 2”
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza ya Environmental kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
4. MICROBIOLOGIST Daraja la II “Nafasi 2”
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza ya Microbiology kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
5. MOL. BIOLOGIST Daraja la II “Nafasi 2”
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza ya Mol. Biology kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
6. PETROLEUM CHEMISTRY Daraja la II “Nafasi 2”
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza ya Petroleum Chemistry kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
7. INFORMATION TECHNOLOGY (IT) Daraja la II “Nafasi 1”
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza katika fani ‘ IT’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Jinsi ya Kuomba:
• Barua za maombi ziandikwe kwa Mkono na zitumwe kwa anuani ifuatayo:-
KATIBU,
TUME YA UTUMISHI SERIKALINI,
S. L. P 1587 - ZANZIBAR.
• Muombaji anaombwa kuwasilisha ombi lake moja kwa moja katika Ofisi ya Tume ya Utumishi Serikalini iliyopo Jumba la Wananchi Forodhani Zanzibar wakati wa saa za kazi. Kwa waombaji walioko Pemba wanaombwa kuwasilisha maombi yao Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Chake Chake Pemba.
Barua za Maombi ziambatanishwe na mambo yafuatayo:-
a) Kivuli cha Cheti cha kumalizia masomo
b) Kivuli cha Cheti cha mtihani wa Taifa (Elimu ya Sekondari)
c) Kivuli cha Cheti cha Kuzaliwa.
d) Kivuli cha Kitambulisho cha Mzanzibari.
e) Picha moja (1) ya Passport Size iliyopigwa karibuni.
f) Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ni tarehe 17 Julai 2017 wakati wa saa za kazi.

Zinazofanana
- AFISA TATHMINI NA USAJILI BIDHAA ZA CHAKULA DARAJA LA II-UNGUJA - 1 POST
- Afisa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) Daraja la II-PEMBA - 1 POST
- AFISA UFATILIAJI UBORA WA DAWA SOKONI DARAJA LA II-UNGUJA - 1 POST
- DRIVER II-UNGUJA - 1 POST
- RECEPTIONIST II -UNGUJA - 1 POST
- ARTISAN II (ELECTRICAL)-UNGUJA - 1 POST
- POSTAL CLERK-UNGUJA - 3 POST
- MARKETING OFFICER II – MARKETING-UNGUJA - 1 POST
- ACCOUNTS ASSISTANT II-UNGUJA - 2 POST
- ASSISTANT RADIATION SAFETY INSPECTOR II-UNGUJA - 3 POSTS
- ASSISTANT POSTAL OFFICER II-UNGUJA - 3 POST
- ICT OFFICER II - FRONT END DEVELOPER -UNGUJA - 1 POST
Bidhaa Mbalimbali
Zenye Promotion
Bidhaa Nyenginezo
Tembelea pia
