Nafasi 27 za Kazi Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makaazi

Maelezo

Chanzo: Utumishi Tanzania



Tarehe Iliyotolewa: 2020-01-09


Download


Kituo cha Kazi/Tukio: Tanzania
Imetembelewa mara! 26418 ... Deadline: 2020-01-18 15:30:00

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI 

 

Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki, pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma). Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi ya Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 27 kwa ajili ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. 

 

PLEASE DOWNLOAD PDF FILE HERE FOR MORE INFORMATION



Download

Share via Whatsapp
Advertise with us

©2024 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English