Nafasi ya Kazi Afisa Tehama Wizara ya Kilimo
Maelezo
Chanzo: Zan Ajira Portal
Tarehe Iliyotolewa: 2023-07-04
Kituo cha Kazi/Tukio: Tanzania
Imetembelewa mara! 16908 ... Deadline: 2023-07-14 15:30:00
POST | AFISA TEHAMA DARAJA LA II- UNGUJA - 1 POST |
---|
EMPLOYER | WIZARA YA KILIMO UMWAGILIAJI MALIASILI NA MIFUGO |
---|
APPLICATION TIMELINE: | From: 28-06-2023 To: 14-07-2023 |
---|
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | - Kufanya majaribio ya sehemu timilifu za program za Kompyuta (Perform Unit Systems (Module Testing),
- Kufanya majaribio ya mifumo ya TEHAMA (Perform testing of System Configurations),
- Kufanya majaribio ya program za Kompyuta kulingana na mahitaji ya watumiaji (Conducting User Acceptance Test),
- Kuweka usalama wa Vifaa vya TEHAMA ndani ya Taasisi.
- Kuzitunza na kuzihakiki taarifa za Taasisi kwa Matumizi ya Serikali.
- Kuweka kumbukumbu za miundombinu ya TEHAMA.
- Kuandaa ripoti za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu na mwaka.
- Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake
|
---|
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | - Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
|
---|
REMUNERATION | ZPSG - 08 |
---|
Share via Whatsapp