Nafasi ya Kazi Fundi wa Simu Daraja la III
Maelezo
Chanzo: ZanAjira
Tarehe Iliyotolewa: 2023-04-28

POST FUNDI SIMU DARAJA LA III - UNGUJA - 1 POST EMPLOYER OFISI YA RAIS - IKULU APPLICATION TIMELINE: From: 14-04-2023 To: 30-04-2023 DUTIES AND RESPONSIBILITIES 1. Kusimamia na kutengeneza simu za ofisi.
2. Kufanya matengenezo madogo madogo yanayojumuisha matumizi ya simu ndani ya ofisi
3.Kumsaidia fundi mkuu katika kutekeleza majukumu ya kila siku.
4. Kutoa ripoti kuhusu simu na vifaa vya simu vinapoaribika.
5. Kufanya kazi nyengine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.QUALIFICATION AND EXPERIENCE 1. Awe Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
2.Awe mwenye Cheti cha Ufundi (VTA) au Cheti cha kawaida cha Electrical Engineering au Telecommunication Engineering au Computer Engineering au Electronics Engineering au Mechanical Engineering kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
3. Awe na uzoefu na ujuzi wa kutengeneza simu.
REMUNERATION ZPSD - 03

Zinazofanana
- AFISA UFATILIAJI UBORA WA DAWA SOKONI DARAJA LA II-UNGUJA - 1 POST
- AFISA TATHMINI NA USAJILI BIDHAA ZA CHAKULA DARAJA LA II-UNGUJA - 1 POST
- Afisa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) Daraja la II-PEMBA - 1 POST
- RECEPTIONIST II -UNGUJA - 1 POST
- DRIVER II-UNGUJA - 1 POST
- ACCOUNTS ASSISTANT II-UNGUJA - 2 POST
- ASSISTANT RADIATION SAFETY INSPECTOR II-UNGUJA - 3 POSTS
- ASSISTANT POSTAL OFFICER II-UNGUJA - 3 POST
- ICT OFFICER II - FRONT END DEVELOPER -UNGUJA - 1 POST
- ARTISAN II (ELECTRICAL)-UNGUJA - 1 POST
- POSTAL CLERK-UNGUJA - 3 POST
- MARKETING OFFICER II – MARKETING-UNGUJA - 1 POST
Bidhaa Mbalimbali
Zenye Promotion
Bidhaa Nyenginezo
Tembelea pia
