Nafasi ya Kazi Katibu Muhtasi Daraja la III
Maelezo
Chanzo: ZanAjira
Tarehe Iliyotolewa: 2023-11-05
Kituo cha Kazi/Tukio: Zanzibar
Imetembelewa mara! 11156 ... Deadline: 2023-11-15 05:22:00
| POST | Katibu Muhtasi Daraja la III-UNGUJA - 2 POST |
|---|
| EMPLOYER | KAMISHENI YA UTALII ZANZIBAR |
|---|
| APPLICATION TIMELINE: | From: 02-11-2023 To: 15-11-2023 |
|---|
| DUTIES AND RESPONSIBILITIES | - Kusaidia kupokea na kuwakaribisha wageni wa Ofisi.
- Kusaidia kupokea majalada na kuyagawa kwa Maafisa wanaohusika na shughuli za Ofisi yako.
- Kusaidia kutayarisha viburudishaji kwa wageni maalum wa Ofisi.
- Kufanyakazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake.
|
|---|
| QUALIFICATION AND EXPERIENCE | - Awe amehitimu Stashahada ya Kawaida (Ordinary Diploma) ya fani ya Uhazili kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
- Awe mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arubaini na sita.
- Asiwe ameajiriwa katika taasisi nyengine za Serikali.
|
|---|
| REMUNERATION | ZPSG - 02 |
|---|
Share via Whatsapp