Nafasi ya Kazi System Developer (Lead Developer)
Maelezo
Chanzo: ZanAjira
Tarehe Iliyotolewa: 2023-01-31
Kituo cha Kazi/Tukio: TANZANIA
Imetembelewa mara! 27046 ... Deadline: 2023-02-16 00:53:00
POST | SYSTEM DEVELOPER (LEAD DEVELOPER) DARAJA LA II - 1 POST |
EMPLOYER | WIZARA YA AFYA |
APPLICATION TIMELINE: | From: 28-01-2023 To: 16-02-2023 |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | - Kuainisha progrmu ngumu na nyepesi za kompyuta.
- Kutengeneza ‘Data Base’.
- Kutayarisha uendeshaji wa ‘User Manual’.
- Kutoa ushauri juu mifumo bora ya kompyuta.
- Kuandaa ‘Monitoring Operating Systems’ kwa ajili ya ‘Software’ za Mawasiliano.
- Kufanya udhibiti wa matumizi ya programu za kompyuta.
- Kuandaa ripoti za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu na mwaka.
- Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake.
|
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | - Awe Mzanzibari mwenye umri usiopungua miaka arobaini na sita.
- Mwenye Shahada ya Kwanza au sifa inayolingana nayo ya Sayansi ya Kompyuta kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
|
REMUNERATION | ZPSG - 08 |
KWA MAELEZO ZAIDI NA NAMNA YA KUOMBA GUSA HAPA
Share via Whatsapp
Bidhaa Mbalimbali
Zenye Promotion
1601
Visits
Bei Maelewano
1588
Visits
TZS 23,000,000
9623
Visits
Bei Maelewano
19604
Visits
Bei Maelewano