Kituo cha Kazi/Tukio: UngujaImetembelewa mara! 1924 ... Deadline: 2025-08-30 15:30:00
POST DETAILS
POST
AFISA TATHMINI NA USAJILI BIDHAA ZA CHAKULA DARAJA LA II-UNGUJA - 1 POST
EMPLOYER
ZANZIBAR FOOD AND DRUG AGENCY (ZFDA)
APPLICATION TIMELINE:
From: 16-08-2025 To: 30-08-2025
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
Majukumu
Kusaidia kukagua na kutathmini nyaraka zilizowasilishwa kama sehemu ya maombi ya usajili wa bidhaa za chakula;
Kusaidia kutathmini maombi ya usajili wa bidhaa za chakula kwa kuhakikisha ukamilifu wake na kufuatwa kwa vigezo vilivyowekwa;
Kusaidia uchambuzi na tathmini ya nyenzo za matangazo yanayohusiana na bidhaa za chakula ili kuhakikisha kuwa yanakwenda sambamba na vigezo vya udhibiti;
Kuandaa ripoti za tathmini za kina na ripoti za maendeleo na kuziwasilisha kwa mkuu wa Divisheni;
Kuhuisha hifadhidata ya usajili wa bidhaa za chakula kwa taarifa sahihi na zinakwenda na wakati;
Kushughulikia na kujibu maswali ya wateja yanayohusiana na usajili wa bidhaa za chakula, kwa kutoa taarifa na msaada inapohitajika;
Kushiriki katika kampeni za uhamasishaji wa umma kuhusu usalama wa chakula na umuhimu wa bidhaa zilizojisajili;
Kuandaa taarifa za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu na mwaka; na
Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Sifa za Muombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu shahada ya kwanza katika fani ya Sayansi ya Chakula na Teknolojia (Food Science and Technology) kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.