Nafasi za Kazi Institute of Public Administration (IPA)
Maelezo
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
NAFASI ZA KAZI KWA UPANDE WA UNGUJA
Mkufunzi kada ya Ununuzi na Ugavi “Nafasi Mbili (2)” Sifa za Muombaji.
Awe Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya “Material
Magagement” au Shahada ya Ununuzi na Ugavi kutoka katika Chuo
kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Awe na alama ya ufaulu (CGPA) isiyopungua 3.5.
Awe na uwezo mzuri wa kuandika na kuzungumza lugha ya
Kiswahili na Kiingereza.
Uzoefu katika kufundisha masomo ya Ununuzi na Ugavi utapewa
kipaumbele.
Sifa nyengine za ziada zitazingatiwa.
Mkufunzi kada ya Katibu Muhtasi “Nafasi Tatu (3)” Sifa za Muombaji.
Awe Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza au Stashahada katika fani ya
Katibu Muhtasi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali
ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Awe na alama ya ufaulu (CGPA) isiyopungua 3.5.
Awe na uwezo mzuri wa kuandika na kuzungumza lugha ya
Kiswahili na Kiingereza.
Uzoefu katika kufundisha masomo ya Katibu Muhtasi utapewa
kipaumbele.
Sifa nyengine za ziada zitazingatiwa.

Zinazofanana
- AFISA UFATILIAJI UBORA WA DAWA SOKONI DARAJA LA II-UNGUJA - 1 POST
- AFISA TATHMINI NA USAJILI BIDHAA ZA CHAKULA DARAJA LA II-UNGUJA - 1 POST
- Afisa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) Daraja la II-PEMBA - 1 POST
- RECEPTIONIST II -UNGUJA - 1 POST
- DRIVER II-UNGUJA - 1 POST
- ACCOUNTS ASSISTANT II-UNGUJA - 2 POST
- ASSISTANT RADIATION SAFETY INSPECTOR II-UNGUJA - 3 POSTS
- ASSISTANT POSTAL OFFICER II-UNGUJA - 3 POST
- ICT OFFICER II - FRONT END DEVELOPER -UNGUJA - 1 POST
- ARTISAN II (ELECTRICAL)-UNGUJA - 1 POST
- POSTAL CLERK-UNGUJA - 3 POST
- MARKETING OFFICER II – MARKETING-UNGUJA - 1 POST
Bidhaa Mbalimbali
Zenye Promotion
Bidhaa Nyenginezo
Tembelea pia
