Nafasi za Kazi MDA's na LGA's

Maelezo

Chanzo: Utumishi Tanzania



Tarehe Iliyotolewa: 2019-11-12


Download


Kituo cha Kazi/Tukio: Tanzania
Imetembelewa mara! 26378 ... Deadline: 2019-11-26 15:30:00

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

 

OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Kumb.Na EA.7/96/01/K/105 12 Novemba, 2019 

 

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi, na Wakala wa Vipimo anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi wazi za kazi 4 kama zilivyo ainishwa katika tangazo hili.

 

1.0 MVUVI MSAIDIZI DARAJA LA II (FISHERIES ASSISTANT II) – NAFASI 1

1.0.1 MAJUKUMU YA KAZI

Kutengeneza, Kushona, Kutunza na Kukarabati zana za uvuvi;

Kutunza na kuangalia mabwawa ya samaki;

Kutega mitego Ziwani au Baharini;

Kutengeneza nyavu ndogo ndogo;

Kuwapa chakula samaki katika mabwawa;

Kuvua samaki katika mabwawa;

Kutoa ushauri kwa wavuvi kuhusu mbinu mbalimbali za uvuvi;

Kukusanya takwimu za uvuvi kutoka kwenye vituo vya kupokelea samaki;

Kutoa ushauri juu ya uhifadhi wa samaki na mbinu za usambazaji na uuzaji wa mazao yatokanayo na samaki;na

Kuwaelimisha wananchi juu ya ufugaji wa samaki na mambo muhimu ya kuzingatia.

 

PLEASE DOWNLOAD PDF FILE FOR MORE INFORMATION



Download

Share via Whatsapp
Advertise with us

©2025 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English