Nafasi za Kazi Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar ZAA
Maelezo

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar, ni taasisi ya Serikali iliyoanzishwa kwa sheria namba 8 ya mwaka 2011. Majukumu ya Mamlaka ya Viwanja Ndege yameelezwa kupitia kifungu nambari 5 (1) ambayo kwa jumla yamejielekeza katika kuviendesha, kuvisimamia, na kuvitunza viwanja vya ndege vya Serikali Unguja na Pemba kwa kuzingatia miongozo ya kitaifa na kimataifa pamoja na kutoa huduma za kuridhisha katika tahadhari (Safety) na usalama (Security) kwa safari za abiria na mizigo katika viwanja vya ndege vya Zanzibar.
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege inatangaza nafasi za kazi 70, katika kada ya kitengo cha Usalama wa kiwanja “Aviation Security” kwa nia ya kuimarisha huduma za Usalama kwa Viwanja vya Ndege vya Unguja na Pemba. Nafasi hizo zitakuwa kwa utaratibu ufuatao

Zinazofanana
- AFISA TATHMINI NA USAJILI BIDHAA ZA CHAKULA DARAJA LA II-UNGUJA - 1 POST
- Afisa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) Daraja la II-PEMBA - 1 POST
- AFISA UFATILIAJI UBORA WA DAWA SOKONI DARAJA LA II-UNGUJA - 1 POST
- DRIVER II-UNGUJA - 1 POST
- RECEPTIONIST II -UNGUJA - 1 POST
- ARTISAN II (ELECTRICAL)-UNGUJA - 1 POST
- POSTAL CLERK-UNGUJA - 3 POST
- MARKETING OFFICER II – MARKETING-UNGUJA - 1 POST
- ACCOUNTS ASSISTANT II-UNGUJA - 2 POST
- ASSISTANT RADIATION SAFETY INSPECTOR II-UNGUJA - 3 POSTS
- ASSISTANT POSTAL OFFICER II-UNGUJA - 3 POST
- ICT OFFICER II - FRONT END DEVELOPER -UNGUJA - 1 POST
Bidhaa Mbalimbali
Zenye Promotion
Bidhaa Nyenginezo
Tembelea pia
