Nafasi za Kazi Udereva

Maelezo

Chanzo: Utumishi Tanzania



Tarehe Iliyotolewa: 2019-07-31


Download


Kituo cha Kazi/Tukio: Tanzania
Imetembelewa mara! 18677 ... Deadline: 2019-08-12 15:30:00

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 
OFISI YA RAIS 
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA 
Kumb. Na EA.7/96/01/J/53 29 Julai, 2019 
 

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI 
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Idara zinazojitegemea na Wakala wa Serikali anakaribisha maombi ya kazi nafasi ya Dereva.Aidha,Dereva watakao ajiriwa watapelekwa katika Ofisi tofauti Serikalini. Hivyo maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi wazi za kazi 400 yanakaribishwa. 
 

1.0 DEREVA DARAJA LA II TGS B - (NAFASI 400) - ZINARUDIWA 
1.1 MAJUKUMU YA KAZI 
i) Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari, ii) Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi, 
iii) Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari, iv) Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali, 
v) Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari, vi) Kufanya usafi wa gari, na 
vii) Kufanya kazi nyingine kadri anavyoelekeza na Msimamizi wake.

 

BOFYA HAPA KUDOWNLOAD PDF FILE KWA MAELEZO ZAIDI

 



Download

Share via Whatsapp
Advertise with us

©2025 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English