Nafasi za Kazi Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi

Maelezo

Chanzo: Utumishi Zanzibar



Tarehe Iliyotolewa: 2018-05-04



Kituo cha Kazi/Tukio: Zanzibar
Imetembelewa mara! 19391 ... Deadline: 2018-05-10 15:30:00

Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Unguja na Pemba kama ifuatavyo:-

1.Afisa Misitu Msaidizi Daraja la III “Nafasi 5” Unguja na “Nafasi 2” - Pemba

Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu Stashahada ya Misitu kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

2.Fundi Umeme Daraja la III “Nafasi 2” Unguja 

Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu Stashahada katika fani ya Ufundi wa Umeme kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

3.Afisa Zana za Kilimo Daraja la II “Nafasi 2” Unguja na “Nafasi 2” - Pemba

Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe na Shahada ya Kwanza katika fani ya Mechanical au Engineer Automotive kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

4.Afisa Usafirishaji Msaidizi Daraja la III “Nafasi 1” Unguja 

Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu elimu ya Stashahada katika fani ya Usafirishaji kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

5.Fundi Bomba Daraja la III “Nafasi 1” Unguja 

Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu elimu ya Stashahada katika fani ya ‘Plumbing’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

6.Hydrology Officer Daraja la II “Nafasi 1” Unguja 

Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amemaliza Shahada ya Kwanza katika fani ya ‘Hydrology’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

7.Afisa Mafunzo Daraja la II “Nafasi 1” Unguja 

Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Utawala wa Rasilimali Watu kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

8.Fundi wa Masonry Daraja la III “Nafasi 1” Unguja 

Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu elimu ya Cheti katika fani ya Masonry kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

9.Afisa Takwimu Msaidizi Daraja la III “Nafasi 1” Pemba 

Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu Stashahada katika fani ya Takwimu kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

10.Afisa Utawala Daraja la II “Nafasi 1” Unguja 

Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza katika fani ya ‘Public administration’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

11.Afisa Ufuatiliaji na Tathmini Msaidizi Daraja la III “Nafasi 1” Pemba 

Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu elimu ya Stashahada katika fani ya Uchumi na Mipango kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

12.Afisa Habari Daraja la II “Nafasi 1” Pemba 

Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza katika fani ya Mass Communication kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

13.Pathology Officer Daraja la II “Nafasi 1” Unguja na “Nafasi 1” Pemba 

Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza katika fani ya ‘Pathology’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

14.Plant Breeder Officer Daraja la II “Nafasi 1” Unguja 

Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza katika fani ya ‘Plant Breeder’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

15.Bio Tech and Animal Science Officer Daraja la II “Nafasi 2” Unguja 

Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza katika fani ya ‘Bio Tech and Animal Science’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

16.Animal Science Officer Daraja la II “Nafasi 1” Unguja 

Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza katika fani ya ‘Animal Science’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

17.Afisa wa Maradhi ya Mimea Daraja la II “Nafasi 1” Unguja na “Nafasi 1” Pemba 

Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza katika fani ya Kilimo kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

18.Afisa wa Magugu Daraja la II “Nafasi 1” Unguja na “Nafasi 1” Pemba 

Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza katika fani ya Kilimo kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

19.Afisa Kilimo Daraja la II “Nafasi 1” Pemba 

Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza katika fani ya Kilimo kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

20.Afisa Mipango Rasilimali Watu Daraja la II “Nafasi 1” Unguja 

Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza katika fani ya Rasilimali Watu kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

21.Wakaguzi wa Mazao (Karafuu) Daraja la III “Nafasi 1” Unguja na “Nafasi 1” Pemba 

Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu elimu ya Stashahada katika fani ya Food Science and Technology kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

22.Afisa Karantini Msaidizi Daraja la III “Nafasi 2” Pemba Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu elimu ya Stashahada katika fani ya General Agriculture kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

23.Afisa Sheria Daraja la II “Nafasi 2” Unguja na “Nafasi 2” Pemba 

Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza katika fani ya Sheria kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

24.Mpiga Chapa Daraja la III “Nafasi 2” Pemba 

Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu elimu ya Cheti katika fani ya Uhazili kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

25.Afisa Muuza Pembejeo Msaidizi Daraja la III “Nafasi 2” Pemba 

Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu elimu ya Stashahada katika fani ya General Agriculture kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

26.Afisa Takwimu Daraja la II “Nafasi 1” Pemba 

Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza katika fani ya Takwimu kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

27.Afisa Habari na Mawasiliano Daraja la II “Nafasi 2” Unguja 

Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza katika fani ya Information Technology (IT) kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

28.Afisa Manunuzi Daraja la II “Nafasi 1” Unguja 

Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza katika fani ya Ununuzi na Ugavi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

29.Afisa Sayansi ya Wanyama Daraja la II “Nafasi 1” Unguja 

Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza katika fani ya Sayansi ya Wanyama kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

30.Muhandisi Umwagiliaji Maji Daraja la II Nafasi 1” Unguja na “Nafasi 1” Pemba 

Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza katika fani ya ‘Irrigation Engineer’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

31.Wahudumu wa Mashamba Daraja la III Nafasi 14” Unguja na “Nafasi 14” Pemba 

Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu elimu ya Cheti katika fani ya General Agriculture kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

32.Dereva Daraja la III Nafasi 2” Unguja na “Nafasi 1” Pemba 

Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu Elimu ya Sekondari na kupata Cheti cha Udereva na leseni hai ya udereva Class ‘C’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

33.Afisa Maabara Daraja la II “Nafasi 4” Unguja 

Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza ya Maabara kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

34.Maendeleo ya Jamii Daraja la II “Nafasi 2” Unguja 

Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza katika fani ya Community Development kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Jinsi ya Kuomba:

• Barua za maombi ziandikwe kwa Mkono na zitumwe kwa anuani ifuatayo:-

KATIBU, 
TUME YA UTUMISHI SERIKALINI,
S. L. P 1587 - ZANZIBAR.

•Muombaji anaombwa kuwasilisha ombi lake moja kwa moja katika Ofisi ya Tume ya Utumishi Serikalini iliyopo Jumba la Wananchi Forodhani Zanzibar wakati wa saa za kazi. Kwa waombaji walioko Pemba wanaombwa kuwasilisha maombi yao Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Chake Chake Pemba. Muombaji anatakiwa kuiainisha nafasi ya kazi anayoiomba vyenginevyo maombi yake hayatazingatiwa.

Barua za Maombi ziambatanishwe na mambo yafuatayo:-
a) Kivuli cha Cheti cha kumalizia masomo 
b) Kivuli cha Cheti cha mtihani wa Taifa (Elimu ya Sekondari)
c) Kivuli cha Cheti cha Kuzaliwa.
d) Kivuli cha Kitambulisho cha Mzanzibari.
e) Picha moja (1) ya Passport Size iliyopigwa karibuni.
f) N.B: Atakaewasilisha ‘Statement of Result’ au ‘Progressive Report’ maombi yake hayatazingatiwa.
g) Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ni tarehe 10 Mei, 2018 wakati wa saa za kazi.



Share via Whatsapp
Advertise with us

©2024 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English