Nafasi za Kazi Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi

Maelezo

Chanzo: Utumishi Zanzibar



Tarehe Iliyotolewa: 2018-11-08



Kituo cha Kazi/Tukio: Zanzibar
Imetembelewa mara! 25806 ... Deadline: 2018-11-14 03:30:00

Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Unguja na Pemba kama ifuatavyo:-

1. Afisa Utumishi Msaidizi Daraja la III “Nafasi 3” Unguja
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Stashahada katika fani ya Rasilimali Watu kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

2. Afisa Mafunzo Daraja la II “Nafasi 1” Unguja
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Shahada ya kwanza ya katika fani ya Rasilimali Watu/Uongozi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

3. Afisa Mali za Serikali Daraja la II “Nafasi 1” Unguja na 1” Pemba
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Shahada ya kwanza ya katika fani ya Manunuzi na Ugavi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

4. Mtunza Ghala Daraja la III “Nafasi 3” Unguja na 1” Pemba
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Stashahada katika fani ya Utunzaji Ghala (Material Management) au Manunuzi na Ugavi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

5. Taarishi Daraja la III “Nafasi 1” Unguja
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amemaliza elimu ya Sekondari.


6. Mtunza Kumbukumbu Daraja la III “Nafasi 1” - Unguja
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza ya Utunzaji wa Kumbukumbu kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

7. Walinzi Daraja la III “Nafasi 9” Unguja na 8” Pemba
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amemaliza elimu ya Sekondari.
• Awe amepata mafunzo ya Ulinzi (Mgambo au JKU au JKT)

8. Mwangalizi wa Ofisi Daraja la III “Nafasi 1” Unguja 1” Pemba
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Stashahada katika fani ya Rasilimali Watu/Uongozi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

9. Fundi Bomba Daraja la III “Nafasi 3” - Unguja
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Stashahada katika fani ya Fundi Bomba (FTC) kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

10. Wapimaji Ardhi Daraja la III “Nafasi 1” - Unguja
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Cheti katika fani ya Upimaji Ardhi (Land Use) kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

11. Fundi Mchundo (Fundi Muashi) Daraja la III “Nafasi 1” - Unguja
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Cheti cha Fundi Muashi (Ujenzi) kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

12. Wahudumu Shambani Daraja la III “Nafasi 21” Unguja 8” Pemba
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amemaliza elimu ya Sekondari.

13. Fundi Mitaro Daraja la III “Nafasi 1” Unguja
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amemaliza elimu ya Sekondari.


14. Fundi Magari Daraja la III “Nafasi 1” Unguja 1” Pemba
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Stashahada katika fani ya Ufundi Magari (Automotive) kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

15. Msaidizi Fundi Magari Daraja la III “Nafasi 1” Unguja 1” Pemba
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Cheti katika fani ya Ufundi Magari (Mechanics) kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

16. Afisa Mipango Daraja la II “Nafasi 2” Unguja
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Shahada ya kwanza katika fani ya Uchumi (Economic) kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

17. Afisa Kilimo Msaidizi Daraja la III “Nafasi 3” Unguja 5” Pemba
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Stashahada katika fani ya Kilimo (Crop Production) kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

18. Msaidizi Afisa Kilimo Daraja la III “Nafasi 2” Unguja
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Cheti katika fani ya Kilimo (Crop Production) kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

19. Mfukiza Madawa Daraja la III “Nafasi 1” Unguja
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Cheti cha General Agriculture kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

20. Dereva Daraja la III “Nafasi 3” Unguja 3” Pemba
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu Elimu ya Sekondari na kupata Cheti cha Udereva na leseni hai ya Udereva Class D kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

21. Afisa Mifugo Daraja la II “Nafasi 2” Unguja 1” Pemba
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Shahada ya kwanza katika fani ya Ufugaji (Livestock) kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

22. Msaidizi Afisa Uzalishaji Mifugo Daraja la III “Nafasi 2” Unguja
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Cheti cha Uzalishaji Mifugo (Animal Production) kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

23. Msaidizi Afisa Tabibu wa Mifugo Daraja la III “Nafasi 2” Unguja
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Cheti cha Utabibu wa Mifugo (Animal Health) kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

24. Afisa Uzalishaji wa Mifugo Daraja la II “Nafasi 2” Unguja
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Shahada ya kwanza katika fani ya Uzalishaji Mifugo (Animal Production) kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

25. Mkaguzi wa Hesabu Daraja la III “Nafasi 1” Pemba
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Stashahada katika fani ya Uchumi/Hesabu kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

26. Msaidizi Afisa Misitu Daraja la III “Nafasi 10” Unguja 3” Pemba
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Stashahada katika fani ya Misitu kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

27. Katibu Muhtasi Daraja la III “Nafasi 1” Unguja 1” Pemba
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu Stashahada katika fani ya Ukatibu Muhtasi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

28. Msaidizi Afisa Uvuvi Daraja la III “Nafasi 1” Unguja
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Stashahada katika fani ya Uvuvi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

29. Mtaalam wa Udongo Daraja la II “Nafasi 1” Unguja
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Shahada ya kwanza katika fani ya Utaalam wa Udongo (Agronomy) kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

30. Karani Mapato Daraja la III “Nafasi 1” Unguja 1” Pemba
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Stashahada katika fani ya Record/Mahesabu kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

31. Karani Diko Daraja la III “Nafasi 1” Pemba
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amemaliza elimu ya Sekondari.

32. Fundi Seremala Daraja la III “Nafasi 1” Pemba
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Cheti cha Ufundi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

33. Afisa Nyuki Msaidizi Daraja la III “Nafasi 2” Pemba
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Stashahada katika fani ya Ufugaji wa Nyuki kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.


34. Afisa Kilimo Daraja la II “Nafasi 1” Unguja 1” Pemba
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Shahada ya kwanza ya Kilimo kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

35. Fundi Umeme Daraja la III “Nafasi 1”
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Cheti katika fani ya Ufundi Umeme kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

36. Muuza Pembejeo Daraja la III “Nafasi 2” Pemba
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Stashahada katika fani ya General Agriculture kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

37. Afisa Umwagiliaji Daraja la II “Nafasi 1” Unguja na ‘Nafasi 1’ Pemba
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Shahada ya kwanza katika fani ya Umwagiliaji Maji kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Jinsi ya Kuomba:
• Barua za maombi ziandikwe kwa Mkono na zitumwe kwa anuani ifuatayo:-
KATIBU,
TUME YA UTUMISHI SERIKALINI,
S. L. P 1587 - ZANZIBAR.

• Muombaji anaombwa kuwasilisha ombi lake moja kwa moja katika Ofisi ya Tume ya Utumishi Serikalini iliyopo Jumba la Wananchi Forodhani Zanzibar wakati wa saa za kazi. Kwa waombaji walioko Pemba wanaombwa kuwasilisha maombi yao Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Chake Chake Pemba. Muombaji anatakiwa kuainisha nafasi anayoiomba vyenginevyo maombi yake hayatazingatiwa.


Barua za Maombi ziambatanishwe na mambo yafuatayo:-
a) Kivuli cha Cheti cha kumalizia masomo
b) Kivuli cha Cheti cha mtihani wa Taifa (Elimu ya Sekondari)
c) Kivuli cha Cheti cha Kuzaliwa.
d) Kivuli cha Kitambulisho cha Mzanzibari.
e) Picha moja (1) ya Passport Size iliyopigwa karibuni.
f) N.B: Atakaewasilisha ‘Statement of Result’ au ‘Progressive Report’ maombi yake hayatazingatiwa.
g) Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ni tarehe 14 Novemba, 2018 wakati wa saa za kazi.



Share via Whatsapp
Advertise with us

©2024 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English