Nafasi za Kazi Wizara ya Kilimo, Wizara ya Mifugo na Uvuvi

Maelezo

Chanzo: Utumishi Tanzania



Tarehe Iliyotolewa: 2019-08-09


Download


Kituo cha Kazi/Tukio: Tanzania
Imetembelewa mara! 17814 ... Deadline: 2019-08-20 15:30:00


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 
OFISI YA RAIS 
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA 
Kumb.Na EA.7/96/01/K/58 

 

06 Agosti, 2019 
 

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI 
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara ya Kilimo, Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Halmashauri ya Jiji la Arusha, Halmashauri ya Wilaya ya Lindi, Halmashauri ya Wilaya ya Itilima, Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, Halmashauri ya Wilaya ya Chemba, Halmashauri ya Wilaya ya Maswa, Halmshauri ya Wilaya ya Muheza na Halmashauri ya Wilaya ya Makete anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi wazi za kazi 44 kama zilivyo ainishwa katika tangazo hili.

 

TAFADHALI PAKUA FAILI LA PDF HAPA KWA AJILI YA MAELEZO ZAIDI

 



Download

Share via Whatsapp
Advertise with us

©2025 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English