Nafasi za Kazi Wizara ya Mali Asili na Utalii, NAOT, TARI na Kwengineko

Maelezo

Chanzo: Utumishi Tanzania



Tarehe Iliyotolewa: 2020-05-09


Download


Kituo cha Kazi/Tukio: Tanzania
Imetembelewa mara! 44198 ... Deadline: 2020-05-21 15:30:00

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA 

 

Kumb.Na EA.7/96/01/K/193 

7 Mei, 2020 

 

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI 

 

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara ya Maliasili na Utalii,Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (NAOT), Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba, Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda, Halmashauri ya Wilaya ya Ileje, Halmashauri ya Wilaya ya Newala, Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa na Halmashauri ya Wilaya ya Busega, anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi wazi za kazi 34 kama zilivyoainishwa katika tangazo hili;- 

 

1.0 MHANDISI WA UJENZI DARAJA LA II (CIVIL ENGINEER II) - NAFASI 6 1.0.1 MAJUKUMU YA KAZI 

i. Atafanya kazi kama Mkaguzi wa Ufanisi na kuwa na jukumu la kufanya kaguzi za Ufanisi katika utekelezaji wa shughuli mbalimbali za Serikali zikiwemo program na miradi mbalimbali ya maendeleo; 

ii. Kusaidia katika kutambua maeneo yanayoweza kufanyiwa Ukaguzi wa Ufanisi pamoja na kutunza na kuhifadhi taarifa mbalimbali juu ya ukaguzi wa ufanisi; 

iii. Kusaidia katika uandaaji wa mipangokazi ya Kaguzi za Ufanisi; 

iv. Kusaidia katika kuandaa ripoti ya utafiti wa awali pamoja na Mipango ya Kazi itakayosaidia katika kufanya Ukaguzi wa Ufanisi;

 

TAFADHALI DOWNLOAD PDF FILE KWA TAARIFA ZAIDI



Download

Share via Whatsapp
Advertise with us

©2024 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English