Nafasi za Kazi Zanzibar Bureau of Standards (ZBS)

Maelezo

Chanzo: ZBS Website



Tarehe Iliyotolewa: 2020-02-17


Download


Kituo cha Kazi/Tukio: Zanzibar
Imetembelewa mara! 22913 ... Deadline: 2020-02-21 15:30:00

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) imeanzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Viwango ya Zanzibar Na.1 ya 2011.

Lengo kuu la kuanzishwa Taasisi ya Viwango ya Zanzibar ni kuhakikisha kuwa Zanzibar inakua na viwango kwa ajili ya bidhaa na huduma na kusimamia ubora wa bidhaa na huduma hizo. Viwango na bidhaa zenye ubora zinalenga kulinda afya na usalama wa watumiaji pamoja na kukuza uchumi wa Zanzibar na kuhifadhi mazingira ya nchi.

Taasisi ya Viwango ya Zanzibar (ZBS) inakaribisha maombi ya kujaza nafasi tupu katika Idara zake kwa waombaji wenye sifa stahili katika Ofisi yake iliyopo Unguja.Nafasi zenyewe ni kama zifuatazo:-

 

PLEASE CLICK HERE TO DOWNLOAD PDF FILE FOR THE ANNOUNCEMENT



Download

Share via Whatsapp
Advertise with us

©2025 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English