Nafasi za Kazi Zanzibar Utilities Regulatory Authority ZURA
Maelezo
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar, imeanzishwa chini ya sheria Nam.7/2013 ikiwa na jukumu la kusimamia huduma za Maji na Nishati hapa Zanzibar.
ZURA kwa uwezo na Mamlaka iliyonayo chini ya kifungu nambari 16 (C) ya sheria Nam. 7/2013 inapenda kuwatangazia wananchi wenye sifa kujaza nafasi za ajira kama zifuatazo katika Afisi zake za Unguja na Pemba.
DOWNLOAD PDF FILE BELOW FOR MORE INFORMATION

Bidhaa Mbalimbali
Zenye Promotion
Bidhaa Nyenginezo
Tembelea pia
