Nafasi za Masomo Zanzibar University

Maelezo

Chanzo: ZU Website



Tarehe Iliyotolewa: 2018-03-08


Download


Kituo cha Kazi/Tukio: ZU
Imetembelewa mara! 14023 ... Deadline: 2018-03-30 16:00:00

Ofisi ya mkuu wa taalum ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (Zanzibar University) Kilichoko Tunguu inapenda kutangaza nafasi za masomo kwa muhula unaoanza Mwezi Mei na Septemba mwaka wa masomo wa 2018/2019 kama ifuatavyo:
KOZI ZA CERTIFICATE:
1. CERTIFICATE IN BUSINESS ADMINISTRATION
2. CERTIFICATE IN PROCUREMENT AND SUPPLY
3. CERTIFICATE IN COMPUTING AND INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY
4. CERTIFICATE IN COMMUNITY DEVELOPMENT


KOZI ZA DIPLOMA:
1. DIPLOMA IN BUSINESS ADMINISTRATION
2. DIPLOMA IN PROCUREMENT AND SUPPLY
3. DIPLOMA IN COMPUTING AND INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY
4. DIPLOMA IN COMMUNITY DEVELOPMENT
5. DIPLOMA IN NURSING AND MIDWIFERY
Mwisho wa kupokea maombi kwa wanafunzi wa Astashahada (NTA Level 4) ni 30/03/2018.
Kwa maelezo zaidi kuhusu sifa za waombaji kwa masomo yaliyotajwa tafadhali rejea kwenye tovuti ya ZU: www.zanvarsity.ac.tz
Au wasiliana na namba zifuatazo :: +255 772601303/0773249487.Kwa waombaji kutoka Pemba namba: 0776384853



Download

Share via Whatsapp
Advertise with us

©2025 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English