Nafasi za Uwalimu Form 5 na 6 Al Sumait University
Maelezo
Chanzo: Sumait Website
Tarehe Iliyotolewa: 2018-03-14
CHUO KIKUU CHA ABDULRAHMAN AL-SUMAIT (SUMAIT UNIVERSITY)
TANGAZO LA KAZI YA KUFUNDISHA
CHUO KIKUU CHA ABDULRAHMAN AL-SUMAIT, CHUKWANI, ZANZIBAR KINATANGAZA NAFASI ZA KAZI YA UALIMU KWA MASOMO YA SAYANSI NA SANAA KWA KIDATO CHA 5-6 KWA SKULI YAKE MPYA YA SUMAIT SECONDARY SCHOOL.
MASOMO YA SAYANSI KIDATO CHA 5-6
- PHYSICS, CHEMESTRY NA MATHEMATICS (PCM)
- PHYSICS, CHEMISTRY NA BIOLOGY (PCB)
- CHEMISTRY, BIOLOGY NA GEOGRAPHY (CBG)
- BASIC ADVANCED MATHEMATICS (BAM).
MASOMO YA SANAA KIDATO CHA 5-6
- HISTORY, GEOGRAPHY NA KISWAHILI (HGK)
- HISTORY, GEOGRAPHY NA ENGLISH (HGL)
- KISWAHILI, ENGLISH NA GEOGRAPHY (KEG)
- ENGLISH, KISWAHILI NA ARABIC (EKA)
SIFA ZA MUOMBAJI
- MUOMBAJI AWE AMEFAULU SHAHADA YA KWANZA KWA NGAZI YA DARAJA KWANZA AU LA PILI (KUANZIA GPA 3.5 NA KUENDELEA).
- AWE AMEFAULU KIWANGO CHA DIVISHENI 1 AU 2 KWA MITIHANI YA KIDAO CHA 6 NA KIDATO CHA 4 ? AWE NA UZOEFU WA KUFUNDISHA SIO CHINI YA MIAKA 5.
NAMNA YA KUOMBA:
MAOMBI YOTE YAAMBATANE NA C.V. NA VYETI VYA KUMALIZIA MASOMO NA YATUMWE KWA ANUWANI IFUATAYO:
MAKAMU MKUU WA CHUO CHUO KIKUU CHA SUMAIT, S.L.P. 1933, CHUKWANI ZANZIBAR. MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI TAREHE 30 MACHI 2018
KWA MAELEZO ZAIDI:
- SIMU: 0777 426 913 au 0773 010 808 au 0678 572 338 ? TOVUTI: www.sumait.ac.tz
- Barua pepe: continuingeducation9@gmail.com au info@sumait.ac.tz
LIMETOLEWA NA: MSAIDIZI MAKAMO MKUU WA CHUO (TAALUMA) CHUO KIKUU CHA ABDULRAHMAN AL-SUMAIT, CHUKWANI, ZANZIBAR