Nafasi za kazi Baraza la Mji
Maelezo

NAFASI ZA KAZI BARAZA LA MANISPAA MJINI
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ kwa ajili ya Baraza la Manispaa Mjini na Halmashauri ya Wilaya ya Kaskazini ‘B’ kama ifuatavyo:-
BARAZA LA MANISPAA MJINI:
1.Mhandisi Ujenzi Daraja la II “Nafasi 1”
Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya ‘Uhandisi wa Ujenzi’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
2.Mhandisi Mazingira Daraja la II “Nafasi 1”
Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya ‘Uhandisi Mazingira’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
3.Afisa Mipango Daraja la II “Nafasi 1”
Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya ‘Mipango’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
4.Mpimaji wa Ardhi (Land Surveyor) Daraja la II “Nafasi 1”
Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya ‘Upimaji wa Ardhi’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
5.Afisa Uchumi Daraja la II “Nafasi 1”
Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya ‘Uchumi’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
6.Askari (Auxlary Policy) Daraja la III “Nafasi 4”
Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu elimu ya Sekondari
7.Mkaguzi wa Afya (Health Inspector) Daraja la II “Nafasi 2”
Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
&bul

Zinazofanana
- AFISA TATHMINI NA USAJILI BIDHAA ZA CHAKULA DARAJA LA II-UNGUJA - 1 POST
- Afisa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) Daraja la II-PEMBA - 1 POST
- AFISA UFATILIAJI UBORA WA DAWA SOKONI DARAJA LA II-UNGUJA - 1 POST
- DRIVER II-UNGUJA - 1 POST
- RECEPTIONIST II -UNGUJA - 1 POST
- ARTISAN II (ELECTRICAL)-UNGUJA - 1 POST
- POSTAL CLERK-UNGUJA - 3 POST
- MARKETING OFFICER II – MARKETING-UNGUJA - 1 POST
- ACCOUNTS ASSISTANT II-UNGUJA - 2 POST
- ASSISTANT RADIATION SAFETY INSPECTOR II-UNGUJA - 3 POSTS
- ASSISTANT POSTAL OFFICER II-UNGUJA - 3 POST
- ICT OFFICER II - FRONT END DEVELOPER -UNGUJA - 1 POST
Bidhaa Mbalimbali
Zenye Promotion
Bidhaa Nyenginezo
Tembelea pia
