Kituo cha Kazi/Tukio: ZanzibarImetembelewa mara! 1592 ... Deadline: 2025-04-05 15:30:00
POST
Afisa Miradi Daraja la II-UNGUJA - 2 POST
EMPLOYER
WIZARA YA AFYA
APPLICATION TIMELINE:
From: 13-03-2025 To: 03-04-2025
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
Kuratibu utekelezaji wa mpango wa kukuza Uchumi na kupunguza umasikini.
Kutayarisha mapendekezo ya Sera na Mipango ya Miradi katika sekta mbalimbali.
Kutoa ushauri wa maeneo ya kuelekeza utekelezaji wa Miradi ya maendeleo.
Kubuni Miradi ya maendeleo katika maeneo/sekta inayohitajika.
Kufanya uchambuzi wa kiutendaji wa Miradi iliyopo Wizarani/Idarani/sekta.
Kuratibu makisio ya Mapato na matumizii.
Kufuatilia fedha za matumizi ya uendeshaji wa Miradi kama ilivyokubaliwa katika bajeti.
Kuandaa taarifa za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu na mwaka.
Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Awe mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka 46.
Awe amehitimu elimu ya shahada ya kwanza katika fani ya “Bachelor degree in Project Planning and Management or Project Management, Monitoring and Evaluation in Health” kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali.