Kituo cha Kazi/Tukio: ZanzibarImetembelewa mara! 1677 ... Deadline: 2025-04-03 15:30:00
POST
Health informatics Officer Daraja la II-UNGUJA - 2 POST
EMPLOYER
WIZARA YA AFYA
APPLICATION TIMELINE:
From: 13-03-2025 To: 03-04-2025
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
Kuhakikisha data za Afya zinakusanywa, kuandaliwa na kupangwa kwa njia ya kielktroniki kwa ajili ya kufanya maamuzi
Kuhakikisha usahihi, ufanisi na uaminifu wa taarifa za afya kwa kufanya ukaguzi wa data kwa kudhibiti ubora wa taarifa
Kusimimia uhifadhi wa data za wagonjwa na taarifa nyengine za afya ili kuhakikisha zinapatikana kwa urahisizinapohitajika kwa kuzingtia usiri wa taarifa
Kushirikiana na wataalamu wa TEHAMA kubuni, kukuza mifumo ya taarifa za afya ili kusaidia mahitaji katika huduma za afya
Kuhakikisha mfumo wa taarifa za afya rafiki kwa mtumiajia yenye ufanisi na tija.
Kuhakikisha kuwa mifumo yote yanajumuishwa kwa pamoja( intergration) ili kuwa kupatikana rekodi a afya za kielektorniki kwa urahisi
Kusimamia mafunzo na msada kwa wataalamu wengine wa Afya kuhusu matumizi ya ya mifumo ya taarifa za afya.
Kutengenza ripoti zinazohusiana na huduma kwa wagonjwa , utendaji wa kifedha, ufuatiliaji ili kusaidia usiamamizi mzuri na kufanya maamuzi sahihi
Kuboresha na kusimamia data za afya na kuriki katika miradi inayolenga kuboresha utendaji wa mifumo au matokeo ya huduma za afya
Kufanya tafiti ili kusaidia kuboresha usisimamizi wa data za afya na utoaji wa huduma za afya
Kufanya kazi nyegine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Awe ni Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka 46.
Awe amehitimu Shahada ya kwanza katika fani ya Health Informatics au health information system kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali.