TANGAZO LA NAFASI YA KAZI AFISA MIAMBA MAJI DARAJA LA II - UNGUJA - 1 POST
Maelezo
Chanzo: ZanAjira
Tarehe Iliyotolewa: 2023-03-10
Kuratibu na kusaidia shughuli zote zinazohusu uhifadhi na ulinzi wa rasilimali maji Kufuatilia maendeleo ya rasilimali maji pamoja na kusimamia miradi ili kuhakikisha inafuata kanuni za mazingira endelevu pamoja na kudhibiti uchafuzi wa maji. Kufuatilia usimamizi wa masuala ya mazingira yanayohusiana na Rasilimali Maji Kuratibu ujumuishaji wa masuala ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi katika usimamizi wa rasilimali maji. Kuchambua Sera na Sheria za Sekta mbali mbali zinazohusiana na uhifadhi wa rasilimali maji pamoja na kudhibiti uchafuzi wa maji na athari zake. Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita (46) Awe mwenye Shahada ya Kwanza katika masomo ya Hydrology, Hydrogiology, Civil Engineering, Water Engineering au Water Management kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapindizi ya Zanzibar.POST AFISA MIAMBA MAJI DARAJA LA II - UNGUJA - 1 POST EMPLOYER WIZARA YA MAJI NISHATI NA MADINI APPLICATION TIMELINE: From: 09-03-2023 To: 25-03-2023 DUTIES AND RESPONSIBILITIES QUALIFICATION AND EXPERIENCE REMUNERATION ZPSG - 08