Wito usaili wizara mbali mbali Pemba

Maelezo

Chanzo: Utumishi zanzibar



Tarehe Iliyotolewa: 2017-12-19



Kituo cha Kazi/Tukio: Skuli ya Madungu Pemba
Imetembelewa mara! 2953 ... Deadline: 2017-12-24 00:00:00

Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia wale wote walioomba nafasi za kazi katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, Wizara ya Afya, Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ kwa nafasi za Pemba wanatakiwa kufika kwenye usaili kwa mujibu wa taasisi waliyoomba kwa utaratibu ufuatao:-



MCHANGANUO WA USAILI - PEMBA

1. Tarehe 24/12/2017 - Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar • Walimu wa Degree - Skuli ya Madungu Chake Chake Pemba saa 2:00 asubuhi





2. Tarehe 25/12/2017 - Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar

• Walimu wa Cheti na Diploma- Skuli ya Madungu Chake Chake Pemba saa 2:00 asubuhi



3. Tarehe 27/12/2017 - WIZARA YA AFYA

• Wauguzi

• Afisa Tabibu

• Fundi Sanifu Madawa

• Fundi Sanifu Maabara

• Afisa Afya Mazingira Msaidizi

• Afisa Rasilimali Watu

• Afisa Uhusiano

• Afisa Habari Msaidizi - Skuli ya Madungu Chake Chake Pemba 2:00 asubuhi





4. Tarehe 28/12/2017

a. Wizara ya Afya

• Dereva

• Karani Mapokezi

• Mlinzi

• Mtunza Bustani

• Mpishi

b. (OR), TAWALA ZA MIKOA, SERIKALI ZA MITAA NA IDARA MAALUM ZA SMZ • Mlinzi Daraja la III



c. WIZARA YA BIASHARA, VIWANDA NA MASOKO • Muhudumu Daraja la III



PAHALA NI SKULI YA MADUNGU CHAKECHAKE - PEMBA Saa 2:00 asubuhi



5. Tarehe 29/12/2017

a. (OR), TAWALA ZA MIKOA, SERIKALI ZA MITAA NA IDARA MAALUM ZA SMZ

• Karani Masjala

• Afisa Ustawi wa Jamii Daraja la II

• Afisa Manunuzi Msaidizi Daraja la III

b. WIZARA YA BIASHARA, VIWANDA NA MASOKO • Afisa Biashara na Masoko Msaidizi Daraja la III

• Afisa Manunuzi Msaidizi Daraja la III



PAHALA SKULI YA MADUNGU CHAKECHAKE - PEMBA Saa 2:00 asubuhi

  



Share via Whatsapp
Advertise with us

©2024 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English