Zanzibar-Dar es salaam Boat and Ferry schedules and Fares
Maelezo
ZANZIBAR BOATS AND FERRY SCHEDULES AND FARES
(RATIBA ZA BOTI/MELI ZANZIBAR)
Zenjishoppazz imekuandalia utaratibu mzima wa safari za boti ambazo husafirisha abiria na mizigo baina ya Dar es salaam, Pemba, Tanga na Unguja. Hii ni kutokana na kuongezeka kwa wasafiri katika maeneo hayo na hivyo basi mara kwa mara watu hudadisi kuhusu utaratibu wa usafiri wa boti/meli hizo. Tafadhali wajulishe uwapendao kwa kushare kiunganishi kwenye whattsapp, facebook, twitter, email na sehemu nyenginezo ili watu waweze kupata taarifa hizi muhimu.
- BOTI ZA AZAM (AZAM FAST FERRIES)
KUKATA TIKETI (BOOKING):
- Mtandaoni (Online booking): Unaweza kufanya booking online kupitia kiunganishi hiki (book online through this link) http://booking.azammarine.com/book/NewBooking.aspx/SearchJourney
- Ofisini (At Azam offices): Zinapatikana katika maeneo ya bandari (Zanzibar Ferry Terminal) kwa Dar es salaam na maeneo ya bandari Zanzibar (Conveniently located at the Zanzibar Ferry Terminal in Dar es salaam, or close to the Zanzibar Port Corporations in Zanzibar)
Angalizo (Note):
- Kulipia ni katika ofisi za Azam, (payments are offline at the Azam offices).
- Kwa wanaokata tiketi kwenye mtandao malipo yanatakiwa yafanyike ndani ya masaa matatu kabla ya safari, vyenginevyo tiketi itabatillishwa. (Those booking online are to complete their payments three hours before the voyage, otherwise the booking will be canceled)
- Unashauriwa kukata tiketi yako mapema kabla ya safari ili kuepuka walanguzi bandarini (You are advised to book your ticket early enough before the journey to avoid cheaters at the terminal)
JINA LA MELI (NAME): AZAM SEA LINK 1
UKUBWA (DIMENSIONS): UREFU MITA 100 UPANA MITA 17
UWEZO WA ABIRIA (PASSENGERS CAPACITY): WATU 1200
UZITO (GRT): TANI 997
SAFARI (ROUTES): BETWEEN UNGUJA, PEMBA AND DAR ES SALAAM
INAMILIKIWA NA (OWNERSHIP): BINAFSI (PRIVATELY OWNED BY AZAM MARINE)
SIKU (DAY) |
KUTOKA (FROM) |
KWENDA (TO) |
MUDA KUONDOKA (DEPATURE TIME) |
MUDA KUFIKA (ARRIVAL TIME) |
NAULI (TZS)
(PRICE ECONOMY CLASS)** |
Jumapili (Sunday) |
PEMBA |
UNGUJA |
SAA 1:00 ASUBHI |
SAA 8:30 MCHANA |
20,000 |
Jumatatu (Monday) |
|
|
|
|
|
|
|||||
Jumane (Tuesday) |
DAR ES SALAAM |
UNGUJA |
SAA 12:00 JIONI |
SAA 12:00 ASUBUHI |
20,000 |
Jumatano (Wednesday) |
UNGUJA |
PEMBA |
SAA 4:00 ASUBUHI |
SAA 10:00 JIONI |
20,000 |
|
|||||
Alkhamis (Thursday) |
|
|
|
|
|
|
|||||
Ijumaa (Friday) |
DAR ES SALAAM |
UNGUJA |
SAA 4:00 USIKU |
SAA 12:00 ASUBUHI |
20,000 |
Jumamosi (Saturday) |
UNGUJA |
PEMBA |
SAA 4:00 ASUBUHI |
SAA 10:00 JIONI |
20,000 |
**FIRST CLASS FARE IS TZS
JINA LA MELI (NAME): AZAM SEA LINK 2
UKUBWA (DIMENSIONS): UREFU MITA 100 UPANA MITA 17
UWEZO WA ABIRIA (PASSENGERS CAPACITY): WATU ZAIDI YA 1000
UZITO (GRT): TANI 717
SAFARI (ROUTES): BETWEEN UNGUJA(ZANZIBAR), PEMBA AND TANGA
INAMILIKIWA NA (OWNERSHIP): BINAFSI (PRIVATELY OWNED BY AZAM MARINE)
SIKU (DAY) |
KUTOKA (FROM) |
KWENDA (TO) |
MUDA KUONDOKA (DEPATURE TIME) |
MUDA KUFIKA (ARRIVAL TIME) |
NAULI (TZS)
(PRICE ECONOMY CLASS)** |
Jumapili (Sunday) |
PEMBA |
TANGA |
SAA 1:00 ASHUBUHI (7:00 AM) |
SAA 5:00 ASUBUHI (11:00 AM) |
20,000 |
|
|||||
Jumatatu (Monday) |
|
|
|
|
|
Jumane (Tuesday) |
TANGA |
PEMBA
|
SAA 1:00 ASUBUHI (7:00 AM) |
SAA 3:30 ASUBUHI (9:30 AM) |
20,000 |
PEMBA |
UNGUJA |
SAA 3:30 ASUBUHI (9:30 AM) |
SAA 10:00 JIONI (4:00 PM) |
20,000 |
|
|
|||||
Jumatano (Wednesday) |
|
|
|
|
|
Alkhamis (Thursday) |
UNGUJA |
PEMBA |
SAA 4:00 ASUBUHI (10:00 AM) |
SAA 10:00 JIONI (4:00 PM) |
20,000 |
Ijumaa (Friday) |
|
|
|
|
|
Jumamosi (Saturday) |
|
|
|
|
|
**FIRST CLASS FARE IS TZS
JINA LA MELI (NAME): AZAM FAST FERRIES
- KILIMANJARO III (): UWEZO ABIRIA 540 (VIP 74, ECONOMY 466), SPEED 32 Knots
- KILIMANJARO IV (SPIRIT OF THE UNION): UWEZO ABIRIA 620 (VIP 84, BUSINESS 86, ECONOMY 466), SPEED 35 Knots
- KILIMANJARO V ():
- KILIMANJARO VI (LADY OF ZANZIBAR):
SAFARI (ROUTES): UNGUJA (ZANZIBAR) AND DAR ES SALAAM KILA SIKU
INAMILIKIWA NA (OWNERSHIP): BINAFSI (PRIVATELY OWNED BY AZAM)
KILA SIKU (DAILY) |
NAULI (FARE) |
||||||
AINA YA ABIRIA (CATEGORY) |
ECONOMY |
BUSINESS |
VIP |
ROYAL |
|||
|
|||||||
WAKAAZI (RESIDENTS) |
WAKUBWA (miaka 10 na kuendelea) ADULT (10 Years and Older) |
TZS 25,000 |
TZS 35,000 |
TZS 50,000 |
TZS 60, 000 |
||
WATOTO (CHILDREN) |
TZS 10,000 |
TZS 35,000 |
TZS 50,000 |
TZS 60, 000 |
|||
|
|||||||
WAGENI (NON RESIDENTS) |
ADULT (10 Years and Older) |
USD 35 |
USD 40 |
USD 50 |
USD 60 |
||
CHILDREN |
USD 25 |
USD 40 |
USD 50 |
USD 60 |
|||
|
|||||||
RATIBA KILA SIKU (DAILY SCHEDULES) |
|||||||
MAHALI (PLACE) |
KUONDOKA (DEPATURE) |
KUWASILI (ARRIVAL) |
|||||
DAR ES SALAAM / ZANZIBAR |
SAA 1:00 ASUBUHI (7:00 AM) |
SAA 3:00 ASUBUHI (9:00 AM) |
|||||
SAA 3:30 ASUBUHI (9:30 AM) |
SAA 5:30 ASUBUHI (11:30 AM) |
||||||
SAA 6:30 MCHANA (12:30 PM) |
SAA 8:30 MCHANA (2:30 PM) |
||||||
SAA 10:00 JIONI (4:00 PM) |
SAA 12:00 JIONI (6:00 PM) |
||||||
|
|
||||||
2. MELI ZA SHIRIKA LA MELI ZANZIBAR (ZANZIBAR SHIPPING CORPORATION BOATS)
KUKATA TIKETI (BOOKING): Tiketi zinakatwa katika ofisi za shirika la meli la zanzibar na katika mawakala binafsi wanaopatikana Darajani, na Bandarini Unguja, Chake chake, Wete Na Mkoani Pemba (Epuka walanguzi, kata tiketi yako mapema katika ofisi zinazotambulikana ili kuepuka usumbufu)
(Booking is done at the Zanzibar Shipping Corporation offices, and private ticketing agencies in Zanzibar town and Chake chake, Wete and Mkoani for Pemba)
JINA (NAME): MV MAPINDUZI II
UKUBWA (DIMENSIONS): UREFU MITA 90 UPANA MITA 3.39
UWEZO WA ABIRIA (PASSENGERS CAPACITY): WATU 1200
UZITO: TANI 5000
SAFARI (ROUTES): BETWEEN UNGUJA AND PEMBA ISLANDS
INAMILIKIWA NA (OWNERSHIP): PUBLIC (GOVERNMENT OWNED OPERATED BY SHIPCO)
SIKU (DAY) |
KUTOKA (FROM) |
KWENDA (TO) |
MUDA KUONDOKA (DEPATURE TIME) |
MUDA KUFIKA (ARRIVAL TIME) |
NAULI (TZS)
(PRICE ECONOMY CLASS)** |
Jumapili (Sunday) |
|
|
|
|
|
|
|||||
Jumatatu (Monday) |
UNGUJA |
PEMBA |
SAA 1:30 ASUBUHI (7:30 AM) |
SAA 7:30 MCHANA (1:30 PM) |
18,000 |
Jumane (Tuesday) |
PEMBA |
UNGUJA |
SAA 1:30 ASUBUHI (7:30 AM) |
SAA 7:30 MCHANA (1:30 PM) |
18,000 |
|
|||||
Jumatano (Wednesday) |
|
|
|
|
|
Alkhamis (Thursday) |
|
|
|
|
|
|
|||||
Ijumaa (Friday) |
UNGUJA |
PEMBA |
SAA 1:30 ASUBUHI (7:30 AM) |
SAA 7:30 MCHANA
|
18,000 |
Jumamosi (Saturday) |
PEMBA |
UNGUJA |
SAA 1:30 ASUBUHI (7:30 AM) |
SAA 7:30 MCHANA |
18,000 |
**FIRST CLASS FARE IS TZS
3. JINA LA MELI (NAME): FLYING HORSE
KUKATA TIKETI (BOOKING): Tiketi za safari zinakatwa katika ofisi zao bandarini kwa dar es salaam, na Zanzibar pia. (Booking is done at their offices located at Zanzibar Ferry Terminal in Dar es salaam and Zanzibar)
UKUBWA (DIMENSIONS): UREFU MITA 37 UPANA MITA 13
UWEZO WA ABIRIA (PASSENGERS CAPACITY): WATU ZAIDI YA 1000
UZITO (GRT): TANI 563
SAFARI (ROUTES): BETWEEN ZANZIBAR (UNGUJA) AND DAR ES SALAAM
INAMILIKIWA NA (OWNERSHIP): BINAFSI (PRIVATELY OWNED BY HABIB ZM - ZANZIBAR, TANZANIA)
SIKU (DAY) |
KUTOKA (FROM) |
KWENDA (TO) |
MUDA KUONDOKA (DEPATURE TIME) |
MUDA KUFIKA (ARRIVAL TIME) |
NAULI (TZS)
(PRICE ECONOMY CLASS)** |
KILA SIKU (DAILY) |
DAR ES SALAAM |
ZANZIBAR |
SAA 6:00 MCHANA (12:00 PM) |
SAA 11:00 JIONI (5:00 PM) |
20,000 |
ZANZIBAR |
DAR ES SALAAM
|
SAA 3:30 USIKU (9:30 PM) |
SAA 12:00 ASUBUHI (6:30 AM) |
20,000 |
**FIRST CLASS FARE IS TZS
Zinazofanana
- Ajali ya MV Spice Islander
- Ifahamu Museum for the Future Dubai
- Matokeo ya Kidato cha Nne (Form Four) 2022/2023
- The Motivation Myth
- TABIA 12 ZA MATAJIRI/MAMILIONEA
- Mambo saba ya kujifunza katika kitabu cha The Richest Man in the Babylon
- History Form One Notes
- KARIBU USAFIRI NASI KWA SAFARI YA HIJA
- MAMBO SABA WANAYOYAFANYA MASKINI, AMBAYO MATAJIRI HAWAYAFANYI
- NAMNA NZURI YA KUWEZA KUHIFADHI PESA