Nafasi za Kazi Wizara ya Elimu Zanzibar

Maelezo

Chanzo: Utumishi ZanzibarTarehe Iliyotolewa: 2022-07-30


Download


Kituo cha Kazi/Tukio: Zanzibar
Imetembelewa mara! 29188 ... Deadline: 2022-08-21 23:59:00


 

SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

TUME YA UTUMISHI SERIKALINI

Kumbukumbu Nam CA.16/306/01.......... 26 July 2022

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi za ualimu katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kwa ajili ya Skuli za Maandalizi, Msingi na Sekondari Unguja na Pemba Kama ifuatavyo:-

1. MWALIMU “GRADE A” SANAA DARAJA LA II -ZPSF-10 Nafasi 29 Unguja na Pemba

Ufafanuzi wa nafasi hizo ni kama ifuatavyo:

 

 

TAFADHALI DOWNLOAD PDF FILE HAPA KWA TAARIFA ZAIDI

 Download

Share via Whatsapp
Advertise with us

©2023 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English