Nafasi ya Kazi Afisa Utafiti Daraja La I Katika Fani Ya Sayansi Ya Uvuvi (Fisheries Sciences) - Ungu
Maelezo
Chanzo: ZanAjira
Tarehe Iliyotolewa: 2023-03-10
Kufanya tafiti zinazohusiana na Uvuvi na Sayansi ya Uvuvi Kuandaa maandiko ya awali (proposal) ya tafiti zinazohusiana na uvuvi na sayansi ya uvuvi Kuandaa bajeti za tafiti zinazohusiana na sayansi ya uvuvi Kukusanya taarifa na sampuli za kitafiti za Uvuvi na Sayansi ya uvuvi Kuandaa ripoti za tafiti anazofanya na zinazofanyika katika Taasisi katika fani yake Kutoa mrejesho wa tafiti kwa wadau wa uvuvi pamoja na kutoa elimu kwa wavuvi Kufanya machapisho ya tafiti anazozifanya kwenye Journals zinazotambulika (Peer Review Journals). Kuandaa ripoti za Utekelezaji wa kazi za kitafiti ikiwemo ripoti ya robo, nusu na ya mwaka Kuishauri Taasisi juu ya tafiti za Uvuvi na Sayaynsi ya Uvuvi Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake wa kazi. Awe Mzanzibari. Awe amehitimu Shahada ya Pili katika fani za Fisheries Sciences, Marine Biology, Marine Science, Fisheries and Aquaculture kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Awe na ujuzi wa kufanya Tafiti zinazohusiana na Uvuvi na Sayansi ya Uvuvi Uzoefu wa kazi pamoja na machapisho za Tafiti katika Journal zinazotambulika (Peer Review Journals) ni sifa za ziada. Ujuzi wa kuogelea na kuzamia (diving) ni sifa za ziada.POST AFISA UTAFITI DARAJA LA I KATIKA FANI YA SAYANSI YA UVUVI (FISHERIES SCIENCES) - UNGUJA - 1 POST EMPLOYER WIZARA YA UCHUMI WA BULUU NA UVUVI APPLICATION TIMELINE: From: 09-03-2023 To: 25-03-2023 DUTIES AND RESPONSIBILITIES QUALIFICATION AND EXPERIENCE REMUNERATION ZPSF - 10