Nafasi ya Kazi Afisa Tehama Wizara ya Kilimo

Maelezo

Chanzo: Zan Ajira PortalTarehe Iliyotolewa: 2023-07-04Kituo cha Kazi/Tukio: Tanzania
Imetembelewa mara! 16086 ... Deadline: 2023-07-14 15:30:00

POSTAFISA TEHAMA DARAJA LA II- UNGUJA - 1 POST
EMPLOYERWIZARA YA KILIMO UMWAGILIAJI MALIASILI NA MIFUGO
APPLICATION TIMELINE:From: 28-06-2023 To: 14-07-2023
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
  1. Kufanya majaribio ya sehemu timilifu za program za Kompyuta (Perform Unit Systems (Module Testing),
  2. Kufanya majaribio ya mifumo ya TEHAMA (Perform testing of System Configurations),
  3. Kufanya majaribio ya program za Kompyuta kulingana na mahitaji ya watumiaji (Conducting User Acceptance Test),
  4. Kuweka usalama wa Vifaa vya TEHAMA ndani ya Taasisi.
  5. Kuzitunza na kuzihakiki taarifa za Taasisi kwa Matumizi ya Serikali.
  6. Kuweka kumbukumbu za miundombinu ya TEHAMA.
  7. Kuandaa ripoti za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu na mwaka.
  8. Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
  1. Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka 46.
  2. Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kutoka  Chuo  kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATIONZPSG - 08Share via Whatsapp
Advertise with us

©2024 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English