Nafasi za Kazi Wizara ya Ardhi na Shirika la Mizinga

Maelezo

Chanzo: Utumishi Tanzania



Tarehe Iliyotolewa: 2018-08-01


Download


Kituo cha Kazi/Tukio: Tanzania
Imetembelewa mara! 20491 ... Deadline: 2018-08-13 15:30:00

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Shirika la Mzinga anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi wazi za kazi 23 kama zilivyoainishwa katika tangazo hili.

BOFYA HAPA KUPAKUA TANGAZO HILI



Download

Share via Whatsapp
Advertise with us

©2023 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English