Dawa ya Jino, Tiba Asilia ya Jino linalouma

Maelezo

Chanzo: Thabit SaidTarehe Iliyotolewa: 2019-05-25Kituo cha Kazi/Tukio: Tanzania
Imetembelewa mara! 37366 ... Deadline: 2022-12-31 00:00:00

DAWA YA JINO SI KUNG'OA

HUNASABABU YA KUNG'OA MENO YAKO

DAWA MUJARRABU YA KUTIBU MENO

 

Mahitaji
1.? Mafuta ya karafuu/clove oil.
2.? mafuta ya Nazi/coconut oil.
3.? Kitunguu maji.
4.? Kitunguu swaum.
5.? Pilipili manga.
6.?Chumvi ya mawe/unga wake

 

MAANDALIZI
Ponda ponda Kitunguu maji,Kitunguu swaumu,chumvi ya mawe na pilipili manga kisha changanya na mafuta na Nazi na mafuta ya karafuu kwa kiasi kidogo (robo kijiko kidogo cha chai) kisha chukua mchanganyiko huu kisha uweke juani kwa muda wa dakika 15 kisha toa juani.

 

MATUMIZI

1.ikiwa jino lina tundu
chukua uji uji wa mchanganyiko huu kisha weka katika tundu na mafuta yake yapakaae pembezoni mwa jino linalouma.

2.ikiwa jina halina tundu
pakaa mafuta ya mchanganyiko huu pembezoni kulizunguka jino linalouma

Tumia dawa hii kutwa mara tatu kwa muda wa siku tatu jino lako litakuwa limepona kabsaa

 

TANBIH/UZINDUSHI:
? Dawa hii inamatokeo ya haraka sana ambapo unaweza kutumia papo hapo jino likapoa,hivyo hakikisha unamaliza dozi kwa muda ulioelekezwa.

? Jiepushe na kunywa vinywaji vya moto sana au vya barid sana mpaka umalize dozi kwa muda uliopangwa.

Baarakallahu fiikum

 

HAURUHUSIWI KUBADILI MAELEKEZO


Contacts bofya kwenye namba kuwasiliana nazo 
+255764516995
+255656198441

thabitsayd@gmail.comShare via Whatsapp

Bidhaa Mbalimbali

Advertise a product

©2021 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English