Nafasi za Kazi MKURABITA

Maelezo

Chanzo: Utumishi TanzaniaTarehe Iliyotolewa: 2019-10-03


Download


Kituo cha Kazi/Tukio: Tanzania
Imetembelewa mara! 7007 ... Deadline: 2019-10-16 15:30:00

SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Kumb. Na EA.7/96/01/ K/86 02 Oktoba, 2019 TANGAZO LA NAFASI YA KAZI- LINARUDIWA

Katibu wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) anakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa za kujaza nafasi ya kazi moja (1) kama ilivyoainishwa kwenye tangazo hili.

 

1.0 MPANGO WA KURASIMISHA RASILIMALI NA BIASHARA ZA WANYONGE TANZANIA (MKURABITA)

Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania maarufu kama “MKURABITA” ni miongoni mwa jitihada za serikali katika kuwezesha jamii kiuchumi. MKURABITA imeanzishwa na Serikali ya Tanzania mwaka 2004 kwa lengo la kuwapa nguvu ya kiuchumi wananchi kwa kuwaongezea uwezo wa kumiliki na kufanya biashara katika mfumo rasmi unaozingatia utawala wa sheria. Mpango huu unasimamiwa na kuratibiwa na Ofisi ya Rais, Ikulu. ni sehemu ya Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umasikini Tanzania (MKUKUTA) na Mkakati wa Kuondoa Umasikini Zanzibar (MKUZA),ukilenga

 

PLEASE DOWNLOAD PDF FILE HERE FOR MORE INFORMATION

 Download

Share via Whatsapp

Zilizotembelewa sana

No preview available
Ramani ya nyumba vyumba vinne simple
98026

Visits

TZS 180,000
No preview available
Ramani (plan) ya Nyumba vyumba 4
88997

Visits

TZS 200,000
No preview available
Bati za rangi gauge 30
41986

Visits

TZS 20,000
No preview available
Ramani ya nyumba vyumba vitano
36237

Visits

TZS 230,000
No preview available
Tv flat screen inch 32
33792

Visits

TZS 380,000

Advertise a product

©2020 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English