Jinsi ya ku bold, italic na Kupiga mchoro kwenye Whatsapp

Maelezo

Chanzo: ZenjishoppazzTarehe Iliyotolewa: 2019-11-25Kituo cha Kazi/Tukio: Zanzibar
Imetembelewa mara! 20599 ... Deadline: 2022-01-11 11:11:00

 

Kama ulikua hujui au umesahau jinsi ya kuandika maandishi kwa ku bold, kwa italic, kupiga mchoro yaani strikethrough hii hapa angalia.


 

Italic

Ili kuandika italic kwenye whatsapp weka alama ya (underscore) yaani kichoro hiki _ mwanzo na mwisho wa neno.


 

Mfano _Ubwabwa_  ukibonyeza space utapata neno Ubwabwa


 

Bold

Ili kuandika bold kwenye whatsapp weka alama ya (star) yaani alama hii * mwanzo na mwisho wa neno.


 

Mfano *Ubwabwa*  ukibonyeza space utapata neno Ubwabwa


 

Kupiga mchoro

Ili kupiga mchoro kwenye whatsapp weka alama ya tildes yaani kichoro hiki ~ mwanzo na mwisho wa neno.


 

Mfano ~Ubwabwa~ ukibofya space utapata neno

Ubwabwa


 

Kabla hujaondoka kuna nyengine hii ya bonus inaitwa monospace nayo utaipata kwa kuandika single quotes tatu

Mfano: “‘Monospace’’’ Ukibofya space utapata ?????????

 

 


 

Usisahau kushea kwa wenzio J;Share via Whatsapp

Bidhaa Mbalimbali

Zenye Promotion

No preview available
KSA Mix Special Iftar - Futari KSA mix
762

Visits

Bei Maelewano
No preview available
Sport fishing boat
922

Visits

TZS 23,000,000
No preview available
Abaya baibui
2139

Visits

TZS 75,000
No preview available
TIBA YA NGIRI SUGU NA CHANGO KWA WANAWAKE
17921

Visits

Bei Maelewano
No preview available
UGONJWA WA BAWASIRI NA TIBA YAKE
10650

Visits

Bei Maelewano
No preview available
TIBA ASILIA YA UGONJWA WA BAWASIRI
9385

Visits

Bei Maelewano
Advertise with us

©2023 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English