Matokeo ya Darasa la Nne, Darasa la Sita na Kidato cha Pili Zanzibar 2019

Maelezo

Chanzo: BMZTarehe Iliyotolewa: 2020-02-05Kituo cha Kazi/Tukio: Zanzibar
Imetembelewa mara! 25444 ... Deadline: 2020-03-31 23:59:00

Matokeo ya Darasa la Nne, Darasa la Sita na Kidato cha pili (Form two)

 

Taarifa ya Matokeo kwa Ufupi:

WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI ZAIDI KITAIFA

Matokeo yanaonesha kuwa wanafunzi waliofanya vizuri zaidi Kitaifa kwa madarasa yote ya mitihani ni:- 

Zainab Hussein Kurwa kutoka Skuli ya Upendo (Darasa la Nne). 

 Ummu-Kulthum Juma Ali Skuli ya Miti Ulaya (Darasa la Sita).

 Amina Hassan Khatib kutoka Skuli ya Lumumba (Kidato cha Pili).

SKULI ZILIZOFANYA VIZURI ZAIDI

Skuli zilizofanya vizuri zaidi Kitaifa kwa Darasa la Nne ni Skuli ya Great vision na Upendo nursury & primary school.

Skuli zilizofanya vizuri zaidi Kitaifa kwa Darasa la Sita ni Skuli ya Feza na Evergreen.

Skuli zilizofanya vizuri zaidi Kitaifa kwa Kidato cha Pili ni Skuli ya

Lumumba na Utaani B.

 

Kupata maelezo zaidi kuhusu taarifa hii tembelea:

 

TAARIFA YA MATOKEO YA MITIHANI YA TAIFA YA MWAKA 2019

 

MATOKEO

 

MATOKEO YA DARASA LA NNE MWAKA 2019

 

MATOKEO YA DARASA LA SITA MWAKA 2019

 

MATOKEO YA FORM TWO MWAKA 2019Share via Whatsapp

Advertise a product

©2022 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English