Scholarships ...timiza ndoto zako!
1. Nafasi za masomo (SMZ Scholarships) Bodi ya Mikopo Zanzibar
Nafasi za masomo (Scholarships) za Bodi ya mikopo Zanzibar Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Zanzibar inatangaza nafasi kumi za ufadhili wa masomo kwa njia ya scholarship zinazotolewa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa vijana waliofaulu vizuri zaidi mitihani yao ya kidato cha sita kwa mwaka 2017....Chanzo: ZHELB
Tarehe ya kutolewa: 2017-07-17
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 8363...Deadline: 2017-08-15 00:00:002. Nafasi za masomo (Scholarships) Utabibu Mifugo China
Nafasi za masomo china Veterinary Medicine Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Zanzibar inatangaza nafasi za masomo ya shahada ya kwanza ya Tiba ya Mifugo (Bachelor of Veterinary Medicine) katika Chuo Kikuu cha Yichun kilichopo katika jimbo la Jiangxi nchini China kwa mwaka wa masomo 2017/18. Masomo....Chanzo: ZHELB
Tarehe ya kutolewa: 2017-07-17
Mahali pa kazi/tukio: CHina Imetembelewa mara 8191...Deadline: 2017-08-15 00:00:003. Master of finance and accounting in oil and gas scholarships
MASTER OF FINANCE AND ACCOUNTING IN OIL AND GAS Statoil Tanzania AS, in collaboration with the Department of Finance, at the University of Dar es Salaam Business School, wishes to invite graduates to apply for the Master Scholarships for the Master of Finance and Accounting in Oil and Gas to be....Chanzo: UDBS
Tarehe ya kutolewa: 2017-06-03
Mahali pa kazi/tukio: UDSM Imetembelewa mara 4309...Deadline: 2017-07-05 00:00:004. 2017/2018 Chinese Government Scholarships
2017/2018 Chinese Government Scholarships 1. Application. The applicants should send their applications in time to the College of International Education (hereinafter referred to as CIE) of HIT before December31 PLEASE DOWNLOAD PDF FILE FOR MORE INFORMATION....Chanzo: Harbin Institute of Technology
Tarehe ya kutolewa: 2017-06-01
Mahali pa kazi/tukio: China Imetembelewa mara 5489...Deadline: 2017-12-31 00:00:005. Oil and Gas, Renewable Energy scholarships
The project focuses on capacity building on scientific research on oil and gas technology at the Department of Mechanical and Industrial Engineering, CoET, UDSM. Courses for MSc in Oil and Gas Engineering will be offered jointly by UDSM members of staff and with lectures from Norwegian University....Chanzo: UDSM
Tarehe ya kutolewa: 2017-05-24
Mahali pa kazi/tukio: UDSM Imetembelewa mara 5431...Deadline: 2017-08-31 00:00:006. UDSM-SWEDEN Pure Mathematics MSc Scholarships
The University of Dar es Salaam, under Sida Mathematics project has been supporting postgraduate training since 2015. An initial offer of 4 sponsorships by the Sida Mathematics project was granted to 4 MSc students in Pure Mathematics for the academic years 2016/2017- 2017/2018. The Department of....Chanzo: UDSM Math Department
Tarehe ya kutolewa: 2017-05-24
Mahali pa kazi/tukio: UDSM Imetembelewa mara 5155...Deadline: 2017-05-31 00:00:007. Postdoc scholarships Food security
The Sustainable Agricultural Productivity, Processing, and Value Chain for Enhancing Food Security in Tanzania (SAPPV), a Sida-funded sub-programme, has 3 scholarship positions for postdoc studies. Selected applicants will conduct their research mainly in Tanzania and run analysis in the....Chanzo: UDSM
Tarehe ya kutolewa: 2017-05-24
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania/Sweden Imetembelewa mara 3963...Deadline: 2017-06-20 00:00:008. Scholarships Alexandria University Egypt
MASTERS AND PhD SCHOLARSHIPS ALEXANDRIA UNIVERSITY EGYPT WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI ZANZIBAR INATANGAZA NAFASI ZA MASOMO ZILIZOTOLEWA NA CHUO CHA ALEXANDRIA - NCHI YA MISRI NGAZI YA SHAHADA YA PILI (MASTERS) NA YA TATU (PhD) KWA MWAKA 2017-18. MUDA WA MASOMO Waombaji wa Masters watasoma....Chanzo: Ministry of education Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2017-05-12
Mahali pa kazi/tukio: Egypt Imetembelewa mara 7628...Deadline: 2017-05-31 00:00:009. Pan African University Scholarships 2017 deadline 31st May 2017
Please circulate widely African Union Commission Scholarships 2017 deadline 31st May 2017 Link: pau-au.net/en/scholarships/scholarship-information Award: Free tuition plus monthly stipend ($750 for MSc and $1100 for Phd) (2years MSc) Eligibility: atleast second class upper bachelors degree and....Chanzo: PAU
Tarehe ya kutolewa: 2017-05-05
Mahali pa kazi/tukio: PAU Imetembelewa mara 5269...Deadline: 2017-05-31 00:00:0010. Nafasi za masomo Chuo (Al-azhar) Misri
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI ZANZIBAR INATANGAZA NAFASI ZA MASOMO SHAHADA YA KWANZA NA YA PILI NCHINI MISRI KATIKA CHUO CHA “AL-AZHAR” KWA MWAKA WA MASOMO 2017/18. SIFA ZA MUOMBAJI SHAHADA YA PILI Awe Mzanzibar. Awe amemaliza Shahada ya kwanza Awe na afya nzuri Awe....Chanzo: Ministry of Education Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2017-05-05
Mahali pa kazi/tukio: Imetembelewa mara 6229...Deadline: 2017-06-01 00:00:00